Msajili wa vyama apiga MARUFUKU matumizi ya miraa kama nembo
- Msajili wa Vyama vya Kisiasa bado anachukulia Miraa kuwa dawa licha ya kukubaliwa kisheria - Wawaniaji huru wanatakiwa kupeana nembo kwa Msajili wa Vyama vya Kisiasa na IEBC ili kuidhinishwa - Wawaniaji huru kadhaa kutoka Meru, Nairobi, Mombasa, Kisumu, Lodwar, Garissa na Wajir walikuwa wameazimia kutumia miraa ila walikataliwa