Mashabiki wamchanachana mwimbaji Akothee baada ya kuchapisha picha za 'aibu' (picha)
- Mwimbaji Akothee yuko taabani baada ya kuzomewa vikali na mashabiki wake kuhusu picha aliyochapisha mitandaoni - Picha hizo zinaanika ekari kuu za mapaja ya Akothee, katika rinda fupi kupindukia - Mapozi aliyopiga Akothee katika picha hiyo ni suala tata miongoni mwa mashabiki wake